Jopo la wanahabari wa idhaa ya Ujerumani (DW) wamegundua nini katika Atabatu Abbasiyya tukufu

Maoni katika picha
Vyanzo vya uchumi wa Atabatu Abbasiyya tukufu vinatokana na nini?

Matumizi yake yokoje?

Je! Atabatu Abbasiyya ipo chini ya serikali ya Iraq?

Marjaa Dini mkuu ana uhusiano gani na Ataba tukufu?

Maswali hayo na mengineyo yameulizwa katika mahojiano yaliyo fanywa na waandishi wa habari wa (DW), fahamu kua (DW) inamiliki luninga na vyombo vingine vya habari (redio na magazeti).

Mahojiano mengine yalifanyika katika tawi la Atabatu Abbasiyya tukufu linalo shiriki kwenye maonyesho ya kimataifa yanayo fanyika mjini Frakfud Ujerumani, kiongozi wa utamaduni na habari za kimataifa katika Atabatu Abbasiyya Ustadh Jassaam Muhammad Saidi akatoa majibu muwafaka, hasa katika zama hizi ambazo vyombo vya habari vinashambulia Ataba zote, na kwa namna ya pekee Atabatu Abbasiyya, majibu yaliyo ondoa utata unaosambazwa na baadhi ya vyombo vya habari.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: