Chuo kikuu cha Alkafeel chaanza usajili

Maoni katika picha
Chuo kikuu cha Alkafeel chini ya kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kilichopo katika mkoa wa Najafu, kimetangaza kuanza usajili katika michepuo yake ya (Udaktari wa meno, Famasiya, Tekniki za udaktari na afya, Uhandisi na kompyuta na mchepuo wa sheria), na katika kitengo cha (Sheria – Utangazaji / wa redio na luninga – Utalii wa kidini), kwa mwaka wa masomo 2019 – 2020. wamesema kua mwanafunzi anaweza kwenda kupata maelekezo chuo kikuu cha Kufa au kwenye vituo vya maelekezo vilivyo karibu yake katika mikoa mingine, pamoja na vielelezo vyake kama vilivyo tajwa kwenye kipeperushi, awe na namba ya mtihani na matokeo yake ya mtihani kutoka kwenye shule aliyo somea, kisha atume kwenye linki ifuatayo: https://pe-gate.org

Kwa maelezo zaidi piga simu kwa namba zifuatazo: (07803880900 / 07601839901).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: