Muhimu: Kikosi cha Abbasi (a.s) cha wapiganaji kimeanza kupokea wanachama wake na kuwarudisha kazini.

Maoni katika picha
Uongozi wa kikosi cha Abbasi (a.s) cha wapiganaji (Liwaau/26 Hashdi Shaábi) umetangaza kua; umeanza kupokea wapiganaji na kukamilisha taratibu za kuwarudisha kazini.

Uongozi umesema kua imeundwa kamati maalum inayo husika na kupokea wapiganaji pamoja na kukamilisha taratibu za kuwarudisha kazini, chini ya maelekezo yaliyopo katika taarifa iliyotumwa na uongozi wa Hashdi Shaábi, kamati inayo husika na shughuli hiyo inapatikana katika ofisi za kikosi na kazi hiyo itaendelea hadi tarehe (20 Novemba 2019m).

Fahamu kua wapiganaji wanao pokelewa ni wale ambao majina yao yapo kwenye orodha yetu peke yake.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: