Marjaa Dini mkuu amekemea watu wanaotaka kutumia maandamano kwa maslahi yao binafsi, amesema hayo katika khutuba ya Ijumaa ya leo (9 Rabiul-Thani 1441h) sawa na (6 Desemba 2019m) ndani ya haram ya Imamu Hussein (a.s), iliyo somwa na Mheshimiwa Shekh Abdulmahadi Karbalai, lifuatalo ni tamko kuhusu swala hilo:
(tunakemea watu wanaotaka kutumia maandamano ya kudai islahi, kwa manufaa yao binafsi badala ya maslahi ya taifa na raia wa Iraq).