Maoni katika picha
Mashamba hayo ni rafiki wa mazingira kutokana na kutumia samadi zisizo kua na kemekali zenye madhara kwa mazingira, aidha mashamba hayo yana aina mbalimbali za mazao yanayo weza kulimwa majumbani kwa kutumia mifuko ya plastiki, hali kadhalika kuna mashamba ya ngano, shairi na mazao mengine yanayo limwa kwa maji ya kumwagilia, ambayo ni moja ya njia za kisasa katika sekta ya kilimo inayo tumika duniani.