Marjaa Dini mkuu ametaja misingi ya kufanikiwa serikali mpya na anatarajia isichelewe kuundwa.

Maoni katika picha
Marjaa Dini mkuu ametaja misingi ya kufanikiwa serikali mpya na anatarajia isichelewe kuundwa, ameyasema hayo katika khutuba ya Ijumaa leo (23 Rabiul-Aakhar 1441h) sawa na (20 Desemba 2019m) ndani ya haram ya Imamu Hussein (a.s), iliyo tolewa na Mheshimiwa Shekh Abdulmahdi Karbalai.

Lifuatalo ni tamko kuhusu swala hilo:

(Tunatarajia kua isichelewe sana kuundwa serikali mpya, ambayo lazima iwe tofauti na serikali zilizo pita, iwe serikali inayo endana na wakati tulio nao, itakayo rudisha haiba ya dola na kutuliza hali, na uchaguzi ujao ufanyike katika mazingira ya amani na utulivu, serikali isiyo athiriwa na watu wa nje kwa siraha wala mali na isiyo tegemea kuamuliwa mambo yake na watu wa nje).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: