Maoni katika picha
Shirika la Nurul-Kafeel linatengeneza bidhaa za aina tofauti, kuna bidhaa kavu, za baridi, za kusindikwa, za kufungwa kwenye vifungashio pamoja na bidhaa za usafi.
Aidha shirika la Nurul-Kafeel ni mbia wa shirika la kilimo cha kisasa na viwanda - Khairul-Juud litiknolojia.
Fahamu kua shirika la kutengeneza bidhaa za wanyama na chakula Nurul-Kafeel chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, ni miongoni mwa mashirika muhimu katika uzalishaji linalo ingiza bidhaa za aina tofauti kwa wingi katika soko la Iraq, bidhaa zinazo zalishwa na shirika la Nurul-Kafeel zinaubora mkubwa na zinauzwa kwa bei nafuu anayo weza kuimudu raia wa kibato kidogo.