Ofisi ya Sayyid Sistani: Kesho tunakamilisha mwezi wa Rabiul-Aakhar na Jumamosi ndio siku ya kwanza ya mwezi wa Jamadal-Uula.

Maoni katika picha
Ofisi ya Mheshimiwa Ayatullah Sayyid Ali Sistani katika mji mtukufu wa Najafu, imetangaza kua kesho Ijumaa tunakamilisha mwezi wa Rabiul-Aakhar, na siku ya Jumamosi tarehe (28/12/2019m) ni siku ya kwanza katika mwezi wa Jamadal-Uula mwaka 1441h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: