Msafara wa Saaqi umetangaza kuanza kwa usajili wa safari ya Umra katika mwezi wa Jamadal-Uula.

Maoni katika picha
Kitengo cha utalii wa kidini chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu kupitia msafara wa Saaqi, kimetangaza ratiba ya safari ya Umra na kuzuru kaburi la Mtume Muhammad (s.a.w.w) na sehemu zingine tukufu katika mji wa Maka na Madina, na kimetoa wito kwa wanaotaka kwenda wafanye haraka kusajili majina yao.

Kitebgo kimetangaza punguzo la bei hadi $900 kutoka $950 kwa mtu, watakaa siku nne katika mji wa Madina na siku sita katika mji wa Maka, kila siku watapewa milo mitatu na watapelekwa katika maeneo matukufu na maeneo ya kihistoria.

Kwa ajili ya kuoda nafasi au kupata maelezo zaidi fika katika ofisi za kitengo:

Tawi la kwanza: Karbala – Mlango wa Bagdad – hoteli ya Aljazira ya zamani karibu na kituo cha Alqamar.

Tawi la pili: Mlango wa Kibla ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Au piga simu kwa namba zifuatazo:

07801952463

07602326779

07602327074

07602420994
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: