Marjaa Dini mkuu atahadharisha… taifa linapitia katika wakati mgumu.

Maoni katika picha
Marjaa Dini mkuu ametahadharisha kua taifa linapitia katika wakati mgumu, ameyasema hayo kwenye khutuba ya Ijumaa ya leo (7 Jamadal-Uula 1441h) sawa na (3 Januari 2020m) ndani ya haram ya Imamu Hussein (a.s), iliyo tolewa na Mheshimiwa Shekh Abdulmahdi Karbalai.

Lifuatalo ni tamko kuhusu swala hilo:

(Mambo yanaenda kwa kasi na taifa linapitia wakati mgumu, kuanzia tukio ka kushambuliwa wanajeshi wa Iraq katika mji wa Qaaim, lililo pelekea kufa kishahidi makumi ya wanajeshi wetu, hadi matukio ya kusikitisha yaliyo tokea Bagdad siku za hivi karibuni, na shambulizi la kinyama karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Bagdad usiku uliopita).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: