Marjaa Dini mkuu: vikundi vyote vinatakiwa kushikamana na kua tayali kuacha maslahi binafsi kwa ajili ya maslahi ya umma.

Maoni katika picha
Marjaa Dini mkuu amesisitiza kua; vikundi vyote vinatakiwa kushikamana na kusaidiana, hilo ni jambo la kawaida inapotokea mitihani na matatizo kama tuliyo nayo kwa sasa, akasisitiza pia; vikundi hivyo vinatakiwa kua tayali kusamehe maslahi binafsi kwa ajili ya maslahi ya umma.

Lifuatalo ni tamko lililosomwa na mwakilishi wake Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi katika khutuba ya swala ya Ijumaa leo (14 Jamadal-Uula 1441h) sawa na (10 Januari 2020m) ndani ya haram ya Imamu Hussein (a.s).

(Wakati wa mitihani na shida kuna haja kubwa ya kusaidiana na kuungana, hilo haliwezi kupatikana ispokua pale kila mtu atakapokua tayali kusamehe baadhi ya maslahi yake binafsi na akatanguliza maslahi ya umma).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: