Mwakilishi wa Marjaa Dini mkuu Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi akiwa katika hospitali ya rufaa Alkafeel, ametangaza kufanikiwa kwa upasuaji alio fanyiwa Marjaa Dini mkuu Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani.
Jopo la madaktari wa kiiraq (walio mfanyia upasuaji huo) limebashiri kua atapona haraka kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, tutakupeni taarifa zaidi kama zitakavyo tufikia…