Idara ya usomaji chini ya Maahadi ya Quráni tukufu katika Atabatu Abbasiyya imetangaza majina (47) ya wanafunzi waliokubaliwa kuingia katika semina ya pili ya uhakiki na usomaji wa Quráni, katika semina hiyo watafundishwa hukumu za usomaji, sauti na naghma za kiiraq kwa mahadhi yote pamoja na uhakiki wa aya za Quráni. Idara imesema kua semina itaanza siku ya Alkhamisi (4 Jamadal-Aakhar 1441h) sawa na (30 Januari 2020m).
Majina ya washiriki hao ni:
Bahaau Subhi Khaliil
Ibrahim Abdul-Abbasi
Hussein Ghab-bwani Karim
Haidari Muhammad Zaamil
Fadhil Abbasi Audah
Muhammad Bashari Abbasi
Khadhiir Abbasi Hasuun
Amjad Saalim Karim
Kaadhim Twaahir
Ghassaan Kaadhim
Hussein Ali
Murtadha Subhi Khaliil
Muhammad Haidari Abdulhussein
Barakati Ahmadi Twa’mah
Ibrahim Hassan Faalih
Baariq Muhammad Saidi
Abdullahi Hussein
Ali Saahil
Faliih Muradi Aboud
Kaadhim Abdujaasim
Abbasi Jaabir Haadi
Muhammad Kaadhim Abdujaasim
Jafari Swadiq Hussein
Muhammad Abduljaliil Abdusultani
Muammal Riyaadh Hassan
Muntadhir Abdusataar Abdulatiif
Ridhwa Yunusi Qassim
Salaam Ali Ridhwa
Zaiduni Twalibu Muhammad Ali
Khalidi Abdu-Ali
Yusufu Muhammad Ahmadi
Haqi Abdu-Ali
Muhammad Abdu-Ali
Haidari Sharifu
Abdu-Swahibu Khadhwiir
Ahmadi Abduzuhura Muhammad
Muhyidini Khadhwiir
Hassan Abbasi Jaasim
Haidari Ali Naaji
Zainul-Abidina Jabbaar
Mahdi Ali Naaji
Zainul-Abidina Jabbaar
Mahdi Ali Naaji
Amiru Qahtwani Adnani
Muhammad Maliki Jasaab
Maitham Abdul-Hassan Naaji
Hussein Karim Habibu
Hussein Ali Hussein
Amiri Raaid Ali
Kumbuka kua semina hii imeandaliwa baada ya kufanikiwa kwa semina iliyopita iliyopewa jina la semina ya bwana wa maji (daurat sayyidul-maai) ya kuhakiki usomaji wa Quráni tukufu kwa mahadhi ya kiiraq na kimisri, kwani mahadhi hayo yanaongoza katika usomaji wa huzuni na unyenyekevu.