Maahadi imesema kua semina hiyo inawakufunzi mahiri, usajili utaanza 6 Jamadal-Aakhar/1441h, kuna zawadi ya pesa kwa watu watatu wa kwanza watakao shinda katika mitihani itakayo tolewa mwisho wa semina, zawadi hizo ni kama zifuatazo:
- 1- Mshindi wa kwanza: atapewa laki mbili na elfu hamsini (250,000) dinari za Iraq.
- 2- Mshindi wa pili: atapewa laki moja na elfu hamsini (150,000) dinari za Iraq.
- 3- Mshindi wa tatu: atapewa laki moja (100,000) dinari za Iraq.