Baada ya kumaliza kufunga umbo la mbao: Mafundi wa kiwanda cha Saqaa wameanza kufunga taji la dirisha la malalo ya Qassim bun Imamu Mussa Alkadhim (a.
15-08-2019
Baada ya kumaliza kufunga umbo la mbao: Mafundi wa kiwanda cha Saqaa wameanza kufunga taji la dirisha la malalo ya Qassim bun Imamu Mussa Alkadhim (a.
Mafundi wa kiwanda cha Saqaa wanaendelea na kazi ya kufunga dirisha jipya katika mazaru ya Qassim bun Imamu Mussa Alkadhim (a.s) kwa siku ya pili mfululizo, wameanza kufunga majengo ya mbao kisha wataweka vipande vilivyo ...