Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Usanifu na utengenezaji wa dirisha la mazaru ya Qassim mtoto wa Imamu Mussa bun Jafari (a.s)
Watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu wanaofanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza madirisha ya makaburi na mazaru tukufu wamekua na uwezo mkubwa katika fani hiyo, uwezo wao umeonekana bayana walipo tengeneza dirisha la malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s), nalo ni dirisha la kwanza kusanifiwa na kutengenezwa kwa mikono ya wairaq, ili kuhakikisha kua kazi hiyo sio ya sehemu moja peke yake Atabatu Abbasiyya tukufu iliamua kuendeleza kazi hiyo ndani na nje ya Ataba tukufu, kwa kutumia nguvu kazi mbalimbali katika utengenezaji wa madirisha ya makaburi na mazaru, wamepata matokeo mazuri kwa kutengeneza madirisha bora zaidi.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 13
17-08-2019
15-08-2019
14-08-2019
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 182
Zaidi