Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Hospitali ya rufaa Alkafeel katika mkoa wa Baabil
Mradi huu umetokana na mkakati ya Atabatu Abbasiyya tukufu katika kupanua huduma zake na mwitikio wa fikra za madaktari wa Baabil walio shauri kuanzishwa tawi la hospitali ya Alkafeel katika mkoa huo kwa ajili ya kuwasogezea huduma ya afya wananchi, tawi hilo linatoa huduma zote za afya kwa kutumia vifaa vya kisasa na kwa ustadi mkubwa sio kwa wakazi wa Baabil peke yake bali kwa wakazi wa mikoa mingine pia, na limeajiri madaktari kutoka ndani na nje ya nchi.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 5
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 33
Zaidi