Kituo cha kuhudumia walio ambukizwa virusi vya Korona katika mji wa Najafu
Jengo la mradi wa kuhudumia walio ambukizwa virusi vya Korona katika mji wa Najafu, limejengwa na hospitali ya kiongozi wa waumini (a.s) kwa kushirikiana na Atabatu Abbasiyya tukufu kupitia kitengo cha usimamizi wa kihandisi, kitengo hicho kilijitolea kuandaa michoro ya kihandisi na utendaji, mradi ulikamilika ndani ya muda mfupi, wiki moja kabla ya muda uliopangwa, kimejengwa ndani ya siku kumi na nane tu, na kimewekwa chini ya usimamizi wa idara ya afya ya mkoa wa Najafu.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 1
Zaidi