Mradi huu unajengwa kwa ajili ya kupunguza msongamano wa mazuwaru na kuongeza kiwango cha idadi ya mazuwaru, hususan wakati wa ziara zinazo hudhuriwa na mamilioni ya watu ambapo hutokea msongamano mkubwa wa mazuwaru, na kuathiri utendaji wa ibada kutokana na msongamano wakati wa kuingia ndani ya Ataba tukufu.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 11
Kumaliza upanuzi wa zaidi ya mita elfu moja
24-07-2021
Kumaliza upanuzi wa zaidi ya mita elfu moja
Mafundi wa kitengo cha usimamizi wa majengo ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya wamemaliza kazi ya upanuzi wa mita za mraba (1450) katika haram, upande wa kushoto wa barabara ya Baabu-Qibla katika malalo ya Abulfadhil ...
Kuanza kazi ya kuongeza sehemu mpya katika uwanja wa Aljuud
05-07-2021
Kuanza kazi ya kuongeza sehemu mpya katika uwanja wa Aljuud
Mafundi wa kitengo cha usimamizi wa majengo ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu, wameanza kazi ya ujenzi katika eneo lililo ongezwa hivi karibuni kwenye uwanja wa Aljuud, upande wa kushoto wa barabara ya Baabu-Q ...
Uwanja wa Saaqi umefika katika hatua ya mwisho
24-03-2021
Uwanja wa Saaqi umefika katika hatua ya mwisho
Kitengo cha usimamizi wa majengo ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu kimesema kuwa kazi ya kupanua uwanja wa Saaqi imefika katika hatua ya mwisho na kilicho baki ni umaliziaji tu, sehemu hiyo itajumuishwa na seh ...
Zaidi