Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Sehemu ya kutawadhia na maji ya kunywa katika mlango wa barabara ya Abbasi (a.s)
Huu ni miongoni mwa miradi ya kutoa huduma inayo fanywa na Atabatu Abbasiyya tukufu katika juhudi zake za kuhakikisha inatoa huduma bora kwa mazuwaru, wanaokuja kumzuru Abu Abdillahi Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s), wahandisi na mafundi wa Atabatu Abbasiyya walianza kazi rasmi ya kutengeneza sehemu ya kutawadhia na maji ya kunywa, katika eneo la mlango wa upande wa barabara ya Abbasi (a.s).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 12
Zaidi