Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kuimarisha nguzo zilizo tiwa dhahabu katika jengo la Abulfadhil Abbasi (a.s)
Baada ya uchunguzi wa kina ulio fanywa na wataalamu wa ujenzi kutoka kitengo cha miradi ya kihandisi cha Atabatu Abbasiyya tukufu, wamepima uwezo wa nguzo za haram wa kubeba paa jipya la haram hii tukufu, ndipo Atabatu Abbasiyya tukufu ikaamua kufanya mradi huu wa kuongeza uimara wa nguzo hizo.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 25
Zaidi