Ukarabati wa Maqaam ya Imamu Mahadi (a.f)
Kutokana na kukaa muda mrefu, ambao ni zaidi ya miaka 25 tangu ilipojengwa Maqaam ya Imamu Mahadi (a.f), umeanza kuonekana baadhi ya uharibifu katika jengo hilo kutokana na vifaa duni vilivyo tumika katika ujenzi wakati ule, hasa kwenye kubba tukufu na kuta pamoja na sakafu, hivyo ikawa lazima kwa kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu kufanya matengenezo makubwa katika Maqaam hiyo yenye heshima ya pekee kwa wapenzi na wafuasi wa Ahlulbait (a.s).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 7
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 73
Zaidi