Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa kituo cha Atabatu Abbasiyya tukufu cha kusafisha maji
Mradi huu ni miongoni mwa juhudi za Atabatu Abbasiyya tukufu za kuhakikisha inatoa huduma bora kwa mazuwaru wa malalo ya Abulfadhil Abbasi sambamba na mradi wa ubanuzi unao endelea, pia unalenga kuondoa tatizo la maji, kwa kupata maji safi yasiyo kua na chunvi, mradi huu unamitambo ya kusafisha maji ya kisasa kabisa.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 11
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 1