Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Jengo la wageni la Imamu Haadi (a.s)
Kutokana na kuongezeka kwa wageni wanaokuja kutembelea malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s), na kufuatia udogo wa sehemu ya kuwalaza, ndipo Atabaru Abbasiyya tukufu ikaamua kujenga nyumba ya wageni na kuweka kila kitu kinacho hitajika katika nyumba, jambo hili ni miongoni mwa miradi ya utowaji wa huduma kwa mazuwaru.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 11
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 108
Zaidi