Mradi wa kuimarisha kuta, sakafu na dari la sardabu ya kaburi la Abulfadhil Abbasi (a.s)
Kutokana na ukongwe wa kuta za haram na korido pamoja na paa lake, sehemu ambayo huitwa sardabu, sehemu hiyo inakarne nyingi, na kutokana na kuongezeka kwa maji ya chemchem yanayo toka sehemu hiyo, sehemu kubwa ya kuta zake zimeharibika na kuweka nyufa kwa kiwango kinacho tishia kutokea mpasuko mkubwa kama tatizo hilo halitadhibitiwa mapema, na kuelekeza maji yanayo toka chini ya kaburi hilo katika mabombo kwa kuyawekea utaratibu mzuri tofauti na ilivyo kua yanatoka chini na kwenye kuta za sardabu, kwani yanachangia kupunguza uimara wa ukuta… kwa ajili hiyo, uongozi wa Ataba tukufu umelazimika kufanya mradi wa kuimarisha ukuta huo, kwa kujenga ukuta wa sardabu, dari na sakafu yake, na kufanya sardabu iwe na muonekano mzuri, iweze kuendana na mahala ilipo karibu na kaburi takatifu la Abulfadhil Abbasi (a.s).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 1
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 14
Zaidi