Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa kubaini nyufa na mipasuko ya sakafu katika haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s)
Kutokana na kuongezaka kwa chemchem za maji katika mji mtukufu wa Karbala kumeathiri majengo mengi zikiwemo Ataba mbili tukufu, kufuatia ukongwe wake pamoja na kuwa chini ukilinganisha na majengo mengine, sambamba na kutelekezwa Ataba hizo na utawala wa kidikteka uliopita, wakati wa utawala huo maji yalikua yanaingia hadi ndani ya uwanja wa haram tukufu, hivyo uongozi wa Ataba wa sasa umelazimika kumaliza tatizo hilo, kazi hiyo imepewa idara ya uhandisi wa majengo katika kitengo cha uhandisi, mradi huu unaumuhimu mkubwa kwani unalenga kulinda jengo hili tukufu lisipate nyufa na mipasuko, nao ni mradi wa kuimarisha msingi wa haram na korido zake, ambao unaitwa (mradi wa kubaini nyufa na mipasuko katika sakafu na kuziziba kwa smenti).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 1
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 4
Zaidi