Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi mkuu wa viyoyozi katika haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s)
Baada ya kuamua kufanya mradi wa kupauwa uwanja wa haram tukufu ya Abulfadhil Abbasi (a.s), imelazimika kukamilisha miradi mingine inayo endana na mradi wa upauwaji, miongoni mwa miradi hiyo ni uwekaji wa viyoyozi, upembuzi yakinifu wa mradi huo umekamilika kwa ajili ya kufunga mitambo mikubwa na midogo itakayo saidia kuweka hewa nzuri ndani ya haram hiyo tukufu kwa kutumia mabomba (chillers) yatakayo sambaza hewa nzuri ya baridi.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 21
Zaidi