Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa mchoro wa kihandisi na kielektronik wa Atabatu Abbasiyya tukufu
Kwa ajili ya kuwa na picha kamili na vipimo vya uhakika kwa ujenzi wowote utakao fanyika katika Atabatu Abbasiyya, na kunufaika na kila mradi wa maendeleo utakao fanyika siku za mbele, kitengo cha miradi ya kihandisi kimeandaa vipimo na michoro ya kihandisi kwa majengo yote ya Ataba kupitia mradi wa michoro ya kielektronik.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 1
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 2
Zaidi