Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Jengo la vyoo katika barabara ya Baabil - Karbala
Miongoni mwa miradi ya kiutumishi inayo fanywa na Atabatu Abbasiyya tukufu na kwa ajili ya kuboresha huduma zinazo tolewa kwa mazuwaru wa Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) hususan katika malango ya kuingia Karbala, umefanywa ujenzi wa jengo la vyoo katika barabara ya Baabil – Karbala ambayo ni miongoni mwa barabara kuu zinazo ingia katika mji huu, na hutumiwa na mazuwaru wengi –hasa kwenye ziara zinazo hudhuriwa na mamilioni ya watu- wanaotoka mikoa ya kusini mwa Iraq na Furaat Ausat.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 20
Zaidi