Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa godauni la miswala
Kutokana na maendeleo yanayo shuhudiwa katika vitengo vyote vya Ataba, ukizingatia kua miswala (busati) zipo kwa wingi kwa sababu ya ulazima wa kubadilishwa wakati wowote inapo tokea dosari kwenye mswala (busati), ndipo ikalazimika kujenga godauni maalum kwa ajili ya kuhifadhi miswala (busati).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 34
Zaidi