Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kituo cha Alkafeel cha matibabu ya kimazingira na maandalizi ya kiafya
Mradi huu ni miongoni mwa miradi muhimu ya kiafya inayoendeshwa na Atabatu Abbasiyya tukufu na unagusa sehemu kubwa ya raia, faida yake sio katika mkoa wa Karbala peke yake, bali hadi mikoa mingine, matibabu ya kimazingira ni sehemu ya matibabu muhimu toka zamani, watu hujaribu kutumia tiba asiliya kama tiba mbadala na imekua na matokeo mazuri.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 6
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 64
Zaidi