Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Majengo ya Kuleini yakutoa huduma kwa mazuwaru
Baada ya kufanikiwa utowaji hudima kwa mazuwaru wa Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) katika jengo la wageni lililo jengwa na Atabatu Abbasiyya tukufu barabara ya Najafu-Karbala, hasa wanaokuja kwa miguu kutoka ndani na nje ya Iraq kwenye siku za ziara za milionea kila mwaka, na ili kuongeza kiwango cha huduma zinazo tolewa kwa mazuwaru na kukamilisha mradi wa kutoa huduma katika barabara zinazo elekea mji mtukufu wa Karbala ndipo ukatekelezwa mradi huu.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 53
Zaidi