Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kituo cha Swidiiqah Twahirah (a.s) cha harakati za wanawake
Kutokana na umuhimu wa mwanamke katika familia na jamii, na kufanyia kazi maelekezo na mafundisho ya kiislamu chini ya mwenendo wa Ahlulbait (a.s) katika sekta ya kinafsi, kimaadili, kijamii na kimalezi, na katika kufanya jambo litakalo kua na athari katika kujenga jamii, ndipo Atabatu Abbasiyya tukufu ikaamua kuanzisha kituo hiki maalum kwa ajili ya utamaduni wa wanawake.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 5
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 62
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 1