Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa kiwanda cha barafu
Miongoni mwa miradi ya kiutumishi inayo saidia katika kuwahudumia mazuwaru wanaokuja Karbala pamoja na wakazi wa mkoa huu, ni mradi wa kiwanda cha kutengeneza barafu (R.O) kilicho jengwa na Atabatu Abbasiyya tukufu na kina mitambo ya kisasa inayo toa barafu zenye ubora mkubwa.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 25
Zaidi