Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa jengo la kiwanda na godauni (Saaqi 2)
Katika juhudi za Atabatu Abbasiyya tukufu kwenye kuleta maendeleo na kunufaika na mazingira ya amani na uchumi wa taifa kwa ujumla, pamoja na mji wa Karbala kwa namna ya pekee.. idara na wataalamu wa Atabatu Abbasiyya wanajitahidi kufanya miradi ya kimaendeleo, ukiwemo mradi wa kujenga kiwanda na godauni (Saaqi 2) katika eneo la Ibrahimi kusini mwa Karbala, mradi huu una u uhimu mkubwa katika upande wa kiwanda na godauni.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 29
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 1