Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa vyoo katika mlango wa mkono (kafu)
Kwa ajili ya kuboresha huduma kwa mazuwaru wa malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s), ujenzi wa miradi ya kutoa huduma unaendelea, kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu kinajenga jengo la vyoo, litakalo kua na huduma kadhaa na litapunguza msongamano ambao hutokea katika ziara zinazo hudhuriwa na watu wengi (mamilioni ya watu), kwani sehemu hiyo haina jengo la vyoo, na haijaguswa na mradi wa upanuzi utakao fanywa katika Atabatu Abbasiyya siku za mbele, ndipo Ataba ikaamua kujenga jengo hili.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 19
Zaidi