Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa kutengeneza nguzo
Kutokana na upanuzi wa miradi ya kutoa huduma katika Atabatu Abbasiyya tukufu, ikawa ni jambo la muhimu kuanzishwa kituo cha kutengeneza vifaa vya smenti, ambacho ni miongoni mwa vituo vinavyo tegemewa na miradi mingine, kutokana na ubora wa vifaa vinavyo tengenezwa na kituo hicho, vinalenga kusaidia miradi ya Ataba tukufu vifaa vinavyo hitajika kwenye miradi mingine kwa gharama nafuu tofauti na gharama yake katika soko la Iraq, tena vyenye ubora mkubwa unao endana na umuhimu wa miradi hiyo, mradi huu ni sehemu ya vyanzo vya mapato na ni sehemu ya kujenga uwezo wa kujitegemea, jambo linalo piganiwa na uongozi wa Ataba tukufu katika utekelezaji wa miradi yake.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 11
Zaidi