Mradi wa kuimarisha na kuweka dhahabu katika sehemu iliyotiwa dhahabu
Miongoni mwa miradi ya kukarabati Atabatu Abbasiyya tukufu, baada ya kumaliza mradi wa kuimarisha nguzo na kuzifunika kwa vipande vya dhahabu, kazi ya kuimarisha na kuweka dhahabu sehemu ya nje vazi linalo endana na nguzo imeanza, ili sehemu hiyo iwe na muonekano mmoja, pamoja na kazi ya kuweka dhahabu kuna kazi nyingine nayo ni kuimarisha ukuta wa eneo hilo ili uweze kuhimili paa jipya kwa kufuata matokea ya uchunguzi na vipimo vilivyo fanywa sehemu hiyo, vilivyo onyesha kua kuta zilikua zimeelemewa na uzito wa paa jipya, baada ya matengenezo hayo ukuta utakua na nduvu maradufu tofauti na ukuta wa zamani, sambamba na kubadilisha vifuniko vya dhahabu vilivyo haribika na kuchaa kutokana na kukaa miaka mingi pamoja na kutelekezwa na utawala uliopita.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 42
Zaidi