Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa jiko la nje
Atabatu Abbasiyya tukufu imejenga jiko la nje katika barabara ya (Karbala – Najafu) ikiwa ni sehemu ya miradi yake ya kuhudumia mazuwaru wa Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s), kutokana na maendeleo ya kuwahudumia mazuwaru, hasa wakati wa ziara zinazo hudhuriwa na mamilioni ya watu, kwani jiko la zamani halitoshi kuhudumia idadi kubwa hiyo ya watu, ndipo Atabatu Abbasiyya ikaamua kujenga sehemu maalumu ya kupikia na kuhifadhi vyakula vikavu sambamba na kuweka vifaa maalumu vinavyo hitajika sehemu hiyo.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 17
Zaidi