Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Ukumbi wa Imamu Hassan (a.s)
Kutokana na upanuzi unaofanyika katika Atabatu Abbasiyya tukufu, sambamba na kufanyika kwa makongamano na mikutano mbalimbali pamoja na kuendesha mashindano ya kielimu na kitamaduni, aidha kuendesha semina za kujenga uwezo na warsha za mambo tofauti, bila kusahau matukio ya kidini ya furaha na huzuni, na kukosekana kwa ukumbi rasmi unao weza kufanyiwa mambo hayo, ndio Atabatu Abbasiyya tukufu ikaamua kujenga ukumbi maalum kwa ajili ya mambo hayo.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 11
Zaidi