Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa kuweka dhahabu katika kubba na minara ya harama ya kiongozi wa waumini (a.s)
Katika utaratibu wa kusaidiana na kubadilishana uzowefu baina ya Ataba tukufu, uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya umekubaliana na uongozi mkuu wa Atabatu Alawiyya tukufu kurudishia uwekaji wa dhahabu kila sehemu yenye dhahabu katika jingo la haram ya kiongozi wa waumini Ali bun Abu Twalib (a.s) katika mji wa Najafu, kuanzia kubba na minara miwili pamoja na sehemu ya ukuta yenye dhahabu, hii ni mara ya kwanza kwa watu wa Iraq kutekeleza mradi wa kuweka dhahabu katika malalo ya kiongozi wa waumini (a.s). Mradi huu unafanywa baada ya mafanikio yaliyo onekana katika uwekaji wa dhahabu kwenye minara ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s), na minara ya mazaru ya Sayyid Muhammad bun Imamu Ali Haadi (a.s), na baada ya wairaq kupata uzowefu na uwezo mkubwa katika swala hili sawa au zaidi ya watu wengine kutoka nchi za kigeni, kitengo cha uhandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu kinaendelea kufanya miradi ya aina hii katika ataba zingine na mazaru tukufu za Iraq kwa ubora mkubwa unao endana na maendeleo ya ujenzi wa kisasa duniani.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 39
Zaidi