Mradi wa magodauni Saaqi 3
Kutokana na maendeleo ya Atabatu Abbasiyya tukufu na upanuzi wa majengo yake, na kufuatia utaratibu wa kielimu katika utunzaji wa vitu, pamoja na haja ya kua na magodauni ya ziyada, ndipo ikaja fikra ya kujenga haya majengo yatakayo saidia kwa kiasi kikubwa katika sekta ya utunzaji wa vitu vya Atabatu Abbasiyya tukufu, chini ya utunzaji wa kisasa na kielimu unaolinda ubora wa kitu, utunzaji huo unategemea aina ya vitu na mgawanyo wa kiidara kwa kufuata taratibu za kimataifa.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 56
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 1