Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kiwanda cha tofali za blok
Kiwanda hiki ni kwa ajili ya kuandaa vifaa vya ujenzi, sambamba na kuhakikisha kinatoa tofali bora zaidi katika mkoa wa Karbala na taifa kwa ujumla, kiwanda kinaendelea kuongeza uzalishaji kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya soko, kwa kuwa na bidhaa imara zenye bei nafuu.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 9
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 4