Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Maukibu ya Atabatu Abbasiyya tukufu katika barabara ya Najafu – Karbala
Mradi wa kuwahudumia mazuwaru na kuwaliwaza mashahidi wa Imamu Hussein na Abulfadhil Abbasi (a.s), na wale wanao hitaji shifaa na baraka zao wanaokuja kwa miguu kutoka ndani na nje ya Iraq, katika msimu wa ziara za milionea kila mwaka, kwa ajili ya kupata utukufu wa kuwahudumia mazuwaru kabla hawajawasili katika Ataba tukufu, uongozi wa Atabatu Abbasiyya umeamua kuweka vituo vya kuwahudumia mazuwaru kwa jina la Abulfadhil Abbasi (a.s) kwenye barabara kuu zote zinazo elekea Karbala tukufu kutoka mikoa mingine.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 32
Zaidi