Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Vipimo vya kihandisi
Miradi ya kihandisi hupitia hatua kadhaa chini ya wataalam wanao simamia mradi husika, miongoni mwa hatua hizo ni vipimo na uchunguzi kwa kutumia mitambo ya kisasa inayo unyesha ubora na uimara wa mradi, kwa kua Atabatu Abbasiyya inataka kufanya miradi iliyo kamilika kila sekta, imeweka utaratibu wa kumima na kukagua miradi yake ndani ya mfumo wa kitengo cha wahandisi.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 23
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 3