Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kituo cha umeme cha haramaini
Kutokana na upanuzu unao endelea katika Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya pamoja na upanuzi wa uwana wa katikati ya haram mbili tukufu, na kwa ajili ya kuwa na umeme wa uhakika kwa ajili ya Ataba hizo, uongozi wa Ataba mbili umeamua kujenga kituo cha kuzalisha umeme chenye uwezo wa kuzalisha (mg 31,3x2), Atabatu Husseiniyya tukufu imebeba jukumu la kujenga kituo hicho huku Atabatu Abbasiyya ikisimamia kazi maalum za kusambaza umeme katika Ataba mbili na kwenye uwanja wa katikati ya haram mbili wenye ukubwa unao kadiriwa kuwa mt (1500).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 35
Zaidi