Jengo la godauni na sehemu ya mapambo
Kutokana na maendeleo yanayo shuhudiwa katika Atabatu Abbasiyya tukufu na upanuzi wa kazi zake sambamba na shughuli za ukarabati wa majengo yake, aidha kufuatia ufinyu wa eneo la kutunzia vifaa vyake, ndipo Atabatu Abbasiyya tukufu akaamua kujenga eneo la kiwanda pamoja na godauni, mradi huu ni sehemu ya miradi ya kiufundi inayo saidia kuboresha utendaji wa Ataba tukufu na kua utendaji wa kitaasisi.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Ujenzi wa magodauni ya sita umepiga hatua kubwa…
09-07-2018
Ujenzi wa magodauni ya sita umepiga hatua kubwa…
Ujenzi wa magodauni ya sita yanayo jengwa katika mkoa wa Karbala barabara inayo elekea katika eneo la Jamaliyya umepiga hatua kubwa, sawa na miradi mingine ya ujenzi kama huo, ambapo tunatarajia siku za usoni kitakua kit ...
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 25
Zaidi