Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Majengo ya viwanda na magodauni katika barabara ya Najafu
Katika kukamilisha mfululizo wa miradi yake kwenye sekta ya maendeleo, viwanda na uchumi kama chanzo cha mapato ya miradi ya kutoa huduma kwa mazuwaru, kama vile mradi wa zawadi, tablighi, utunzi na uchapishaji wa vitabu, Atabatu Abbasiyya tukufu inaendelea kujenga miradi ya viwanda na magodauni, kuna awamu ya tatu na ya nne pamoja na mfululizo wa majengo mengine, ujenzi huo unafanywa katika barabara inayo unganisha Karbala na Najafu. Ujenzi huo unahusisha kumbi za viwanda na nyumba za chini, pamoja na ujenzi wa mabarabara na nyumba za utumishi katika hatua ya kwanza, hatua ya pili itahusisha ujenzi wa viwanda vya Ataba tukufu.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 58
Zaidi