Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Majengo ya pili katika mradi wa magodauni ya Ataba tukufu
Majengo ya pili chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu yanaitwa Saqaa/4 ni moja ya miradi inayo tekelezwa sambamba na miradi mingine ya aina hiyo, kuna ambayo ipo katika hatua ya ujenzi na mingine katika hatua ya upembuzi, miradi hiyo inajengwa karibu na magodauni ya Saqaa/2 katika barabara ya (Karbala – Najafu), imechakuliwa sehemu hiyo kwa kua inaeneo kubwa linalo weza kutumika kwa ujenzi wa viwanda na magodauni matatu kwa ajili ya kuwekea vifaa vya awali, majengo yanayo jengwa yanaweza kutumika kwa kitu kingine chochote hapo baadae.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 36
Zaidi