Hospitali ya Rufaa Alkafeel
Mradi huu ni mchango wa Atabatu Abbasiyya tukufu katika sekta ya afya hapa Iraq kwa ujumla, na makhsusi katika mkoa wa Karbala, kwa sababu ya upungufu uliokuwepo kwani ilikua ni asilimia %30 peke yake iliyokua inafikiwa na huduma za afya katika mkoa wa Karbala, sambamba na kukamilisha miradi ya afya iliyo tangulia, na kusaidia serikali ya mkoa ambayo ina miradi mingi ya afya, hospitali inajumla ya vitanda (200) vilivyo gawanywa katika wodi tofauti (za mabumziko, kulala na zinginezo), na ina vyumba vya upasuaji (12) aidha kuna vyumba vya dharura, ushauri na taarifa za nje, imejengwa katika eneo lenye ukubwa wa (mt 12500) ukubwa wa jengo ni mita (4000) na lina ghorofa tatu na sardabu (jengo la chini).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 26
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 259
Zaidi